JINSI YA KUFUNGA SOLAR PANEL

Baada ya kuangalia aina za solar panel na kazi zake katika makala ziliyopita kama hujazisoma bofya hapa leo tunaangali jinsi ya kufunga solar panel ili kuweza kupata umeme wa kutosaha katika kipindi chote cha mwaka. Fuatana nami ndugu msomaji mzuri makala hii. 1. VIFAA nyundo misumali mbao nzuri panel yako angle measure multimeter wire 2. VITU VYA [...]

FAHAMU MATUMIZI YA SOLAR, VIFAA VYAKE NA INAVYOWEZA KUZUIA TATIZO LA KUKATIKA KWA UMEME

MATUMIZI YA SOLAR POWER SYSTEM HAPA TANZANIA 1. kuzalisha umeme Asilimia kubwa hapa tanzania hutumia solar kupata nishati ya umeme kwa matumizi ya nyumbani kama kuwasha taa, kuendesha vifaa vya electroniki kama television, friji, kucharge simu na matumizi mengine ya electrobiki. Hii imeweza kusaidia watanzania wengi sana ambao wapo kijijini na kutokana na tatizo la[.....]

AINA ZA PANELI ZA SOLAR POWER SYSTEM

Zifuatazo ni aina mbalimbali za solar panel zinazopatikana sku hizi duniani kwa ujumla na tutaona ipi inafaa kulingana na uchumi wa mtanzania wa chini,uwezo wa kukidhi malengo na kadhalika:- 1. Monocrystalline Silicon (Single Silicon) hadi sasa inasemekana hii ndio aina ya panel yenye uwezo mkubwa wa kuzalisha umeme pale tu ambako nguvu ya jua ikitua[.....]

AINA ZA SOLAR POWER SYSTEM (NISHATI YA JUA)

Katika makala iliyopita tuliangalia historia fupi ya solar power system ilivyoanza, wakina nani waligundua pia tuliona maana yake na kuangalia kwa ufupi sana jinsi inavyozalisha umeme.Pia tuliona kuwa nishati hii ya jua yaweza kutatua matatizo yanayomkabili mwananchi wa hali ya chini katika upatikanaji wa nishati hasa vijijini. Kutokana na utangulizi mfupi hapo juaa leo tunaangalia[.....]